Matthew 11:28-30

28 a“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. 29 bJifungeni nira yangu, mjifunze kutoka kwangu, kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu. 30 cKwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.”
Copyright information for SwhKC